(no subject)

Apr 30, 2008 14:04

Kujifunza Kiswahili ni ngumu. Kusoma ni nzuri kwa mimi, lakini kuongea ni mbaya sana. Na ngeli ni nyingi! Ni ngumu sana sana. Ni kama genders katika Kifransa, lakini mia asilimia more ngumu. Ni kweli kabisa.

Jojih anajaribu kuniongea Kiswahili, lakini ninajibu pole pole. Labda ni mjinga. Lakini ninajaribu pia. Nina bidii sana. Na bidii ni nzuri.

Nitajaribu kuandika Kiswahili moja saa kwa wiki. Nina lazima kukumbuka that lugha hii ni mpya sana. Nimejifunza mwezi tatu tu. Si mbaya.

(So I haven't exactly learned adjectives properly yet... but I'm trying, dammit.)
Previous post Next post
Up